Tanzania na kampuni ya madini Barrick zakubaliana | Matukio ya Afrika | DW | 21.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Tanzania na kampuni ya madini Barrick zakubaliana

Uchambuzi wa Prof. Honest Ngowi kuhusu tangazo la serikali ya Tanzania na Kampuni ya kuchimba madini ya Barrick kufikia makubaliano ya kutanzua mvutano wa zaidi ya miaka miwili. Je, kilichofikiwa ndiyo yalikuwa matarajaio ya walio wengi.

Sikiliza sauti 02:56