Tanzania: Magufuli amtetea Paul Makonda | Matukio ya Afrika | DW | 04.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Sakata la vyeti feki

Tanzania: Magufuli amtetea Paul Makonda

Rais wa Tanzania, John Magufuli, amesema hajali iwapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ana vyeti halisi au la, anachojali ni kuwa Makonda anapambana na madawa ya kulevya. Mchambuzi Bashiru Ally afafanua.

Sikiliza sauti 02:51
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na Dr. Bashiru Ally

                  

Sauti na Vidio Kuhusu Mada