1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Kivuko cha MV Nyerere chazama

John Juma
20 Septemba 2018

Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Kisiwa cha Ukara mkoani Mwanza na Bugorora katika Ziwa Victoria, kimezama leo mchana kikiwa na abiria ndani. Hadi sasa kiasi ya watu watano wamethibitishwa kufariki dunia. Grace Kabogo amezungumza na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, Esther Chaula, ambaye anaelezea hasa kile kilichotokea.

https://p.dw.com/p/35Fu9