Tanzania: Kinyozi mwanamke | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Tanzania: Kinyozi mwanamke

Wanawake wanaendelea kufanya kazi zilizokuwa zikionekana kama kazi za wanaume hapo awali. Leo tunaye Maisha Salum, Kinyozi mwanamke wa huko Mtwara Tanzania. Anasema hii ni kazi anayoipenda licha ya changamoto za kutoaminiwa na baadhi ya wanaume. Wewe umeshawahi kukutana na kinyozi mwanamke? Huduma yake ilikuwaje? Tupe uzoefu wako.

Tazama vidio 02:47