1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Fukwe za Mwanza taabani

5 Mei 2020

https://p.dw.com/p/3cFz8

Ongezeko la maji katika ziwa Victoria limefunika fukwe za mji wa Mwanza. Maeneo ambayo watu walikuwa wakipumzikia wakibarizi upepo na kufurahia mandhari ya kiopee ufukweni yamefunikwa na maji. Wadau katika sekta ya hoteli na utalii wameathiriwa mno. Dotto Bulendu anasimulia zaidi.