Tamko la LHRC dhidi ya shambulio la IMMA | Matukio ya Afrika | DW | 29.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Tamko la LHRC dhidi ya shambulio la IMMA

Kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) pamoja na rais wa Chama cha Wanansheria Tanganyika (TSL) wamemtaka kaimu jaji mkuu atoe tamko la kulaani shambulio dhidi ya ofisi za kampuni ya uwakili ya IMMA jijini Dar es Salaam.

Sikiliza sauti 02:55