Tamasha la Muziki na Uwanaharakati | Media Center | DW | 10.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Tamasha la Muziki na Uwanaharakati

Tamasha kubwa la siku tano la muziki na harakati zake za kumkwamua Mwafrika limefanyika mjini Kampala Uganda. Pamoja na mambo mengine sikiliza kuhusu tamasha hilo lililopewa jina la "Your music, your voice" lililoandaliwa na wakfu wa Kijerumani Friedrich Ebert. Zaidi sikiliza kipindi karibuni.

Sikiliza sauti 31:03