1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 28.02.2017

Yusra Buwayhid
28 Februari 2017

Rais wa Marekani Donald trump asesema ataongeza bajeti ya ulinzi kwa dola bilioni 54. Mwandishi habari wa Ujerumani aekwa jela Uturuki huku akisubiri kesi yake inayohusu tuhuma za uchochezi na ugaidi. Kenya yapiga marufuku matangazo ya serikali katika vyombo vya habari binafsi

https://p.dw.com/p/2YMJ8