1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Abu Sayyaf

Abu Sayyaf ni kundi la wanamgambo wa Kiislamu nchini Ufilipino.

Kundi hili la msituni liliundwa mwaka 1991 na tangu wakati huo limefanya mashambulizi ya kigaidi dhidi ya wananchi na maafisa wa serikali, ikiwemo kuteka nyara na kubaka. Jina la Abu Sayyaf linamaanisha “baba wa mwenye upanga” kwa Kiarabu.