Taarifa ya habari za asubuhi. 12.11.2019 | Media Center | DW | 12.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Taarifa ya habari za asubuhi. 12.11.2019

Uturuki yawarejesha makwao wanachama wa kigeni wa kundi la jihadi, ghasia zazuka nchini Bolivia kufuatia hatua ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais Evo Morales na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa zaidi wa dhehebu la Kishia nchini Iraq Grand Ayatollah Ali al-Sistani aunga mkono mpango wa Umoja wa Mataifa wa amani nchini humo.

Sikiliza sauti 08:00