1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JangaAfrika

Taarifa ya Habari ya asubuhi 27.11.2021

V2 / S12S27 Novemba 2021

Umoja wa Ulaya wakubaliana kusitisha safari za ndege za abiria kutoka mataifa saba ya kusini mwa Afrika kutokana na kirusi kipya. Waziri Mkuu wa Ethiopia ameapa kuwaangamiza adui zake katika ujumbe wake wa kwanza kutoka kwenye uwanja wa vita. Na Wanasiasa wa Sudan waachiwa huru baada ya kuanza mgomo wa kula.

https://p.dw.com/p/43YpX