++Marekani imemwekea vikwazo waziri wa ulinzi wa Cuba kwa ukandamizaji dhidi ya maandamano ya amani.+++Nusu ya raia watu wazima barani Ulaya wamepatiwa chanjo kamili ya Covid-19+++++Na Baadhi ya nchi za Ulaya zimeonyesha kukasirishwa na makubaliano ya Ujerumani na Urusi juu ya mradi wa bomba la Nord stream 2.