1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 18.02.2020

Sylvia Mwehozi
18 Februari 2020

Nyaraka mpya zilizovuja zinaonyesha namna mamlaka za China zinavyotumia teknolojia kuwafuatilia, na kuwakamata Waislamu wa jamii ya Uighur. Umoja wa Ulaya wakubaliana kufuatilia marufuku ya silaha iliyowekwa na Umoja wa Mataifa dhidi ya Libya. Na Hali ya mgogoro katika eneo la Kaskazini magharibi mwa Syria imefikia kiwango kipya cha kutisha.

https://p.dw.com/p/3Xuvr