Suluhisho la takataka kutumia lava au viwavi | Media Center | DW | 12.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Suluhisho la takataka kutumia lava au viwavi

Wakati ambapo utupaji takataka umeendelea kuwa tatizo kubwa katika nchi nyingi za Afrika, mjasiriamali mmoja nchini Tanzania ameamua kutumia takataka kutokana na vyakula vilivyoharibika kuzalisha lava au viwavi ambao baadaye hugeuzwa kuwa chakula cha kuku na samaki. Fahamu mengi kwenye vidio hii.

Tazama vidio 02:42