Sudan Kusini yaomba msaada kwa Tanzania | Media Center | DW | 11.06.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Sudan Kusini yaomba msaada kwa Tanzania

Serikali ya Sudan Kusini imeiomba Tanzania kufanikisha makubaliano ya amani yaliyotiwa saini kati ya pande zinazohasimiana hasa wakati huu ambapo taifa hilo likijipambanua upya kwa kusaka fursa za kiuchumi katika eneo la Afrika mashariki.

Sikiliza sauti 02:38