STOCKHOLM: Vinu viwili vya kinyuklia vitagungwa Sweden. | Habari za Ulimwengu | DW | 04.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

STOCKHOLM: Vinu viwili vya kinyuklia vitagungwa Sweden.

Vinu viwili vya kituo cha kinyuklia cha Forsmark nchini Sweden vitafungwa kutokana na wasiwasi kwamba ni hatari kwa usalama.

Kituo hicho ambacho kimekuweko tangu miaka ishirini na sita iliyopita kilifungwa kwa dharura mwezi Julai mwaka uliopita kwa muda wa miezi miwili.

Kituo cha Forsmark, kiasi kilomita mia moja kaskazini mwa Stockholm, kinatoa sudusi ya nguvu za umeme za Sweden.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com