1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Soko Mtandao Tanzania

Sudi Mnette
3 Oktoba 2018

Wakulia nchini Tanzania, wanaweza kujitafutia wateja na kuuza mazao yao kwa njia ya mtandao. Kijana Jackson Swebe ameunda programu rahisi ya kufanikisha jukwaa hilo. Zaidi tazama video iliyoandaliwa ya Yakub Talib.

https://p.dw.com/p/35vGh