Simba imemaliza kazi | Media Center | DW | 30.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Simba imemaliza kazi

Kufuatia kipigo cha goli moja dhidi ya mtani wake wa jadi Yanga Sport Club, Club ya Simba ya jijini Dar es Salaam imesema imemaliza kazi na kwamba sasa ni Mungu pekee atakayewazuia kuutwa ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania. Mtazame Hajj Manara, msemaji wa club hiyo kongwe nchini Tanzania.

Tazama vidio 00:54