1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Wafanyakazi Duniani

1 Mei 2018

Muda mfupi baada ya hotuba ya Rais wa Tanzania, John Magufuli katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kuonekana kuwakatisha tamaa wafanyakazi, aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira katika utawala wa awamu ya nne, Dr. Milton Makongoro Mahanga, ameelezea kusikithswa na hotuba hiyo akisema inauwa ari ya wafanyakazi, jambo ambalo halitoweza kuipeleka nchi mbele kiuchumi.

https://p.dw.com/p/2wyfh