1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Redio duniani, je umenufaika vipi na redio?

Grace Kabogo
13 Februari 2020

Siku hii ilianzishwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO kwa ajili ya kusherehekea matangazo ya redio, kuimarisha ushirikiano wa kimataifa miongoni mwa watangazaji wa redio. Kutoka Dar es Salaam, Tanzania, DW imezungumza na Martin Kuhanga, Mkuu wa kitengo cha redio Tumaini Media.

https://p.dw.com/p/3Xhsa