1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya pili tangu kutekwa, Mo Dewji hajulikani alipo

Lilian Mtono
12 Oktoba 2018

Bado juhudi zinaendelea kumtafuta mfanyabiashara na bilionea mdogo zaidi barani Afrika, Mohammed Dewji, aliyetekwa nyara jana jijini Dar es Salaam, huku polisi wakisema hadi sasa watu 30 wanashikiliwa kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Lilian Mtono anazungumza hapa na Hawa Bihoga anayefuatilia kadhia hii akiwa Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/36Qqc