″Serikali isaidie vituo vya yatima wa Ukimwi″ | Masuala ya Jamii | DW | 01.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

"Serikali isaidie vituo vya yatima wa Ukimwi"

Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Ukimwi, DW imezungumza na Hellen Nkunda anayeendesha kituo cha yatima Tanzania. Anasema serikali lazima itoe msaada zaidi kwa watoto waliopoteza wazazi kwa Ukimwi.

Sikiliza sauti 02:47

Hellen Nkunda katika mahojiano na Isaac Gamba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com