1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume: Programu ya kuutambua uzushi mitandaoni

31 Oktoba 2023

Uwepo na urahisi wa matumizi ya mitandao ya kijamii umewepesisha mawasilianol baina ya watu lakini pia umeongeza kiwango cha taarifa zisizokuwa za kweli na, wakati mwengine, zinazoweza kusababisha matatizo kwenye jamii. Lubega Emmanuel kutoka Kampala anaangalia programu maalum zinazoweza kutenganisha habari za kweli kutoka za uzushi mitandaoni.

https://p.dw.com/p/4YGPL