Sema Uvume: Jukwaa la mtandaoni linalojihusisha na masuala ya elimu nchini Tanzania | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 07.09.2021

Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Sema Uvume: Jukwaa la mtandaoni linalojihusisha na masuala ya elimu nchini Tanzania

Ninakukaribisha katika Sema Uvume. Fahamu jukwaa la mtandaoni linalojihusisha na masuala ya elimu nchini Tanzania la SmartClassTz likiwaunganisha waalimu na wanafunzi wanaotafuta masomo ya ziada au kujiajiri. Pia utaskia juu ya WhatsApp ambayo imeanzisha kipengele kipya cha kutuma picha inayoonekana mara moja kisha kujifuta. Karibu mimi ni Sylvia Mwehozi.