1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume: masuala ya elimu nchini Tanzania na SmartClassTz

Sylvia Mwehozi
7 Septemba 2021

Ninakukaribisha katika Sema Uvume. Fahamu jukwaa la mtandaoni linalojihusisha na masuala ya elimu nchini Tanzania la SmartClassTz likiwaunganisha waalimu na wanafunzi wanaotafuta masomo ya ziada au kujiajiri. Pia utaskia juu ya WhatsApp ambayo imeanzisha kipengele kipya cha kutuma picha inayoonekana mara moja kisha kujifuta. Karibu mimi ni Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/402c4