Asili na mazingiraSamani za magurudumu chakavuTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAsili na mazingiraSudi Mnette22.06.201822 Juni 2018Magurudumu ya chakavu ya gari ni miongoni mwa plastiki zenye kuharibu sana mazingira. Jijini Dar es Salaam, msichana Irene Missanga amebuni mradi uitwao Mabaki Mali ambapo hutengeza samani na mapambo ya majumbani kwakutumia mabaki ya tairi chakavu.https://p.dw.com/p/303qcMatangazo