JamiiSafari ya hatari Ukerewe TanzaniaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSudi Mnette28.11.201728 Novemba 2017Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bwiro iliyopo kisiwani Ukerewe wanalazimika kutumia mtumbwi usiyo na vifaa vya kuwakinga na ajali kila siku wanapokwenda na kutoka shule, hali hii inatokana pia na ukosefu wa mabweni kwa wanafunzi wa shule hiyohttps://p.dw.com/p/2oNy4Matangazo