Dunia imesalia katika kona ndogo ambayo nayo inagharimu maisha ya watoto takriban milioni moja wanaozaliwa kabla ya muda wao wazaliwa kufika wajulikanao njiti. Katika makala ya afya yako ambayo, Hawa Bihoga anawaangazia watoto ambao wamezaliwa kabla ya wakati.