Rwanda na Uganda wasaini makubaliano ya kumaliza mvutano | Matukio ya Afrika | DW | 22.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Rwanda na Uganda wasaini makubaliano ya kumaliza mvutano

Makubaliano ya kuondoa uhasama kati ya Rwanda na Uganda yaliyosainiwa na marais wa nchi hizo mbili yameleta afueni na furaha kubwa kwa raia wa nchi hizo, hususan wafanyabiashara.

Sikiliza sauti 02:22