1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raslimali, kikwazo kwa wanariadha Uganda

4 Aprili 2018

Kizazi kipya cha wanariadha wa Uganda wanafanya mazoezi ili wapate kushiriki mashindano ya kimataifa. Wakiwa wanatiwa motisha na ufanisi katika michezo ya Olimpiki ya London, wanachokosa ni raslimali na uwezeshwaji kutoka kwa serikali ila kinachowapa motisha ni dhamira yao.

https://p.dw.com/p/2vU9C