Ramla Said: Mwakilishi wa walemavu Mombasa | Media Center | DW | 14.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ramla Said: Mwakilishi wa walemavu Mombasa

Ramla Said ni mfano wa kuigwa unaothibitisha ule msemo kwamba kuwa mlemavu haimaanishi ni kutoweza. Jitihada za Ramla za kutetea haki za walemavu wenzake zinadhihirisha hilo. Msikilize mafanikio yake katika vidio mliyoandaliwa na Faiz Musa Abdallah, kutoka Mombasa, Kenya.

Tazama vidio 03:21