Rais wa Tanzania Magufuli bado hajaunda serikali | Matukio ya Afrika | DW | 30.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Rais wa Tanzania Magufuli bado hajaunda serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania John Pombe Magufuli hajaunda baraza lake la mawaziri, ikiwa ni siku 25 tangu alipoapishwa

Sikiliza sauti 03:02

Isaac Gamba amezungumza na Mchambuzi wa masuala ya kisiasa Rutaraka Ate Jnr

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com