1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Samia wa Tanzania aahidi kuboresha biashara ndogondogo

George Njogopa25 Januari 2022

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amekutana kwa mara ya kwanza katika Ikulu jijini Dar es Salaam na jamii ya wafanyabiashara ndogondogo yaani wamachinga na ameahidi kutafuta suluhisho la kudumu kuhusu changamoto zinazowakabili ikiwamo kuwajengea masoko ya uhakika. George Njogopa alituandalia ripoti hii kutoka Dar-es Salaam.

https://p.dw.com/p/463xK