1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Samia: Tulinde haki za wafungwa magerezani

Deo Kaji Makomba
29 Agosti 2022

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemuagiza kamishna Jenerali mpya wa jeshi la magereza Mzee Ramadhan Nyamka kuhakikisha haki za wafungwa zinalindwa magerezani ikiwemo malazi na chakula. Amewataka majaji aliowaapisha hii leo kufanya kazi kwa kuzingatia misingi ya sheria na haki. Sikiliza ripoti ya Deo Kaji Makomba kutoka Dodoma.

https://p.dw.com/p/4GBnp