1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Samia aombwa kufuta kesi ya Mbowe

Zainab Aziz
3 Machi 2022

Viongozi wa dini wametumia mkutano wao na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuzungumza mambo mengi pamoja na hili la kwamba tumike busara kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa Chama cha upinzani cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake wengine. Zainab Aziz amezungumza na Askofu wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania KKKT Dayosisi ya Karagwe Dkt Benson Bagonza

https://p.dw.com/p/47wCs