1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Samia aahidi haki kupatikana katika mahakama Tanzania

6 Oktoba 2021

Rais Samia Suluhu Hassan, wa Tanzania amesema kuwa pamoja na ujenzi wa miundo mbinu ikiwemo vituo jumuishi vya utoaji wa haki nchini humo nchi hiyo haiwezi kupata mafanikio endapo wasimamizi na wadau wa mfumo wa utoaji haki hawatafanya kazi zao kwa kuzingatia sheria, taratibu na pia kuongozwa na nafsi katika kufanya kazi na kutoa maamuzi. Sikiliza ripoti ya Deo Kaji Makomba.

https://p.dw.com/p/41LbG