Rais mpya wa Afrika Kusini, Ramaphosa | Media Center | DW | 15.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Rais mpya wa Afrika Kusini, Ramaphosa

Cyril Ramaphosa ndiye rais mpya na wa tano wa Afrika Kusini. Amechaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo na bunge baada ya Jacob Zuma kuachia ngazi kufuatia shinikizo la chama chake cha ANC baada ya kukabiliwa na madai ya ufisadi. Hii hapa historia fupi ya Rais huyo mpya. Tazama vidio.

Tazama vidio 01:03
Sasa moja kwa moja
dakika (0)