1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Magufuli adai vifaa vya kupima Corona vimechezewa

8 Mei 2020

Miongoni mwa yaliyojitokeza barani Afrika wiki nii ni utata uliozushwa na kauli ya rais wa Tanzania John Magufuli kuhusu vifaa vya upimaji kirusi cha Corona nchini mwake,huko Burundi wafuasi wa chama cha upinzani CNL washambuliwa na tawi la vijana la chama tawala CNDD-FDD na mvua kubwa yasababisha maafa nchini Rwanda na Kenya. Sikiliza Afrika wiki hii

https://p.dw.com/p/3bx1I