Raia wa Ufaransa akimbia marathon kwenye roshani | Media Center | DW | 25.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Raia wa Ufaransa akimbia marathon kwenye roshani

Raia mmoja wa Ufaransa amekamilisha mbio za masafa marefu za marathon akiwa kwenye roshani yake. Katika mataifa tofauti barani Ulaya ambako maambukizi ya virusi vya corona yamepiga vibaya, na watu kulazimishwa kusalia majumbani mwao, kwa kiasi wawezavyo wanaendelea kufanya mazoezi.

Tazama vidio 01:32