Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Uchungu wa mwana auajuaye mzazi.. Na hasa unapokuwa na mapacha kwa hakika hutakosa la kusimulia. Tizama video hii ya Ahmad Juma uwasikie kina mama hawa. #Kurunzi
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3lco2
Watetezi wa haki za wanawake watoa wito wa kuanzishwa kwa madawati ya jinsia katika vyuo vikuu na taasisi za elimu nchini Tanzania, kwa lengo la kukabiliana na tatizo la unyanyasaji wa kingono unaotajwa kukithiri.
Kumekuwa na kilio kikubwa kwa jamii ya wafanyabiashara nchini Tanzania wakati huu wa kuelekea msimu wa sikukuu ya Krismasi ambako wanadai hali ya biashara imedorora tofauti na miaka ya nyuma katika msimu kama huu.
Nchini Burundi Wanawake zaidi ya 13,000 walikabiliwa na visa mbalimbali vya unyanyasaji kijinsia katika mwaka uliopita wa 2019.
Wabunge 19 wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema walioitwa na kamati kuu ya chama hicho kwa ajili ya kuhojiwa kutokana na kukiuka masharti ya chama hicho wamegoma kufika mbele ya kamati hiyo.