Queen Sendiga: Mwanamke anayewania urais Tanzania | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 16.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Queen Sendiga: Mwanamke anayewania urais Tanzania

Miongoni mwa wawaniaji urais nchini Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu ni mwanamke Queen Sendiga. Kurunzi ya Wanawake inammulika mwanasiasa huyo pamoja na azma yake.

Tazama vidio 01:33