Polisi Tanzania yawazuia washukiwa 2 wa utekaji nyara watoto | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 09.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Polisi Tanzania yawazuia washukiwa 2 wa utekaji nyara watoto

Polisi mkoani mbeya nchini Tanzania inawazuia washukiwa wawili wa utekaji nyara watoto na kuwauza. Kamanda wa polisi katika mkoa huo Ulrich Matei Ulrich amesema washukiwa hao walikamatwa baada ya kupashwa habari na wananchi walioshuku miendendo yao.

Sikiliza sauti 02:05