Polisi Tanzania wamwachia Askofu Mwamakula | Media Center | DW | 16.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Polisi Tanzania wamwachia Askofu Mwamakula

Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, nchini Tanzania leo hii limemuachia kwa dhamana mkosoaji wa serikali ya rais John Magufuli, Askofu Emmaus Mwamakula wa kanisa la Uamsho la Moravian baada ya kukamatwa hapo jana kwa tuhuma za kuchochea maandamano kwa njia ya mtandao. Je nini sababu ya yeye kukamatwa?

Sikiliza sauti 02:29