Paris: Picha zilizochorwa na msanii Picasso zimeibiwa mjini Paris | Habari za Ulimwengu | DW | 28.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Paris: Picha zilizochorwa na msanii Picasso zimeibiwa mjini Paris

Picha mbili za kuchora za Pablo Picasso, zenye gharama ya Euro milooni 50, zimeibiwa kutoka nyumba ya mjukuu wa msanii huyo ilioko Paris. Picha hizo ni pamoja na ile ya sura ya binti yake, kwa jina la Maya na mtoto wa sanamu, na pia sura ya mke wake wa pili, Jaqueline. Ziliibiwa usiku wa jumatatu. Polisi wa Paris wanafanya uchuguzi kuhusu wizi huo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com