1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
AfyaAfrika Kusini

Nozi, mwanaharakati 'asiyejizuia' kuhusu masuala ya UKIMWI

8 Novemba 2022

Nozibele Qamngana Mayaba – almaarufu Nozi – anatambuliwa na wengi Afrika Kusini. Tangu utotoni mwake mashariki mwa mji wa Capetown, alikuwa na ndoto ya kuishi maisha mazuri na kuachana na ukata ulioiandama familia yao. Leo hii yeye ni mtangazaji wa DW kwa njia ya Podcast wa kipindi kiitwacho ‘Usijizuie’ na pia ni mwanaharakati kuhusu masuala ya virusi vya Ukimwi.

https://p.dw.com/p/4JClg
Ruka sehemu inayofuata Mada zinazohusiana