1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Niebel kutembelea leo Dadaab Kenya

Halima Nyanza(ZPR)16 Agosti 2011

Waziri wa ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo wa Ujerumani Dirk Niebel anaendelea na ziara yake nchini Kenya kutathmini hali ya kibinaadamu na kisiasa katika pembe ya Afrika.

https://p.dw.com/p/12GzR
Waziri wa ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo wa Ujerumani Dirk NiebelPicha: DW

Leo waziri wa ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo wa Ujerumani Dirk Niebel atakwenda Dadaab, kabla ya kuwa na mkutano na waandishi habari mjini Nairobi baadae jioni.

Hungerkatastrophe in Afrika
Wakimbizi wa Kisomali wakiwa katika kambi ya Dadaab nchini KenyaPicha: picture alliance/dpa

Jana waziri Niebel alifanya mazungumzo na Rais Mwai Kibaki, mawaziri wengine wa ngazi ya juu wa serikali ya Kenya, wawakilishi wa Umoja wa Afrika na shirika la umoja wa mataifa linalohusika na wakimbizi, UNHCR.