Ndoto za Olimpiki za wanariadha wa Uganda | Media Center | DW | 31.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ndoto za Olimpiki za wanariadha wa Uganda

Kizazi kipya cha wanariadha wa Uganda kinajitayarisha kwa bidii zote ili kuweza kufuzu katika mashindano ya kimataifa. Wakiwa wamehamasishwa na mafanikio yao walioyapata katika michezo ya Olimpiki ya London, Uingereza. Licha ya kuwa na upungufu wa rasilmali kadhaa bidii yao ni ya kiwango cha juu.

Tazama vidio 01:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)