1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

Nash MC na "Uzuri wa Kiswahili"

13 Agosti 2018

Jasson Mutalemwa maarufu kama Nash MC wa Tanzania ameweza kuvuta hisia za wengi katika Tamasha la Muziki wa Kiafrika la Tübingen, Ujerumani kwa kutumbuiza kwa wimbo wake wa miondoko ya hiphop ukiwa na lugha nadhifu na fasaha ya Kiswahili "Uzuri wa Kiswahili". Mtazame na kisha fikiria hawa raia wengi wa kigeni pamoja na kufurahia muziki walikuwa wanaelewa anachokizungumza?

https://p.dw.com/p/334Zz