1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nape Nnauye azungumza na DW

Saumu Ramadhani Yusuf23 Machi 2017

Baada ya kutokea hali ya vuta nikuvute katika mkutano kati ya aliyekuwa Waziri wa Habari Tanzania, Nape Nnauye na waandishi wa habari, DW ilimtafuta waziri huyokwa njia ya simu. Kwanza alitufafanulia mengi kuhusu kilichotokea.

https://p.dw.com/p/2ZpiX