Mzozo kati ya spika wa Tanzania na mbunge Masele | Media Center | DW | 17.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mzozo kati ya spika wa Tanzania na mbunge Masele

Nchini Tanzania kumekuwa hali ya vuta nikivute katika bunge la jamhuri ya taifa hilo baada ya spika wake Job Ndugai kutoa amri ya kutaka arejee nyumbani Naibu wa Rais wa Bunge la Afrika Stephen Masele kwa kile alichodai kufanya mambo ya hovyohovyo huko Afrika Kusini.

Sikiliza sauti 03:22

Sudi Mnette amempata mbunge Masele na kwanza amemuuliza pamoja na hilo la mambo ya hovyo anazungumziaje lawama za kugonganisha mihilili ya dola ya Tanzania? Sikiliza zaidi mahojiano hayo